Namshukuru MWENYEZI MUNGU kwa kutimiza mwaka mwingine
Prof. Mohamed Janabi
900 posts
@WHOAFRO Regional Director | Building a Healthier Africa, Together!
Retweets are not endorsements
- Mapema leo nilikutana na Naibu Waziri Mkuu Mhe. Dkt Doto @DBiteko , na kujadiliana nae. Mara tu baada ya hafla ya Uapisho wa Mawaziri na Viongozi mbalimbali uliofanyika ikulu ndogo Tunguu, Zanzibar , Disemba 10, 2024.
- I am deeply honored and humbled to be elected as the WHO Regional Director for Africa @WHOAFRO . This is not just a personal milestone, but a collective victory for our continent’s unwavering pursuit of better health for all. I thank the Member States for their trust and
- Maelezo Kuhusu "Hakuna mtu ana njaa Asubuhi ... Tunakunywa chai kwa mazoea tu." #mtindo_wa_maisha
- I am deeply honored to be nominated by the Government of Tanzania for the position of Regional Director @WHOAFRO. With my expertise and experience, I am committed to advancing the WHO transformation agenda and fostering a healthier future for Africa. afro.who.int/regional-direc…
00:00 - Pumzika kwa Amani, Tutaendelea Kuuenzi Mchango Wako Katika Sekta ya Afya.
- Thank you, Carol, for your kind birthday wishes. Happy birthday to you as well. I would like to invite you to my office at MNH for a cake. Wishing you a wonderful day ahead and all the best in NyamaChoma Festival tomorrow. Karibu sana.
- Ninajisikia heshima na furaha kubwa kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika @WHOAFRO . Huu si ushindi wangu binafsi tu, bali ni ushindi wa Waafrika wote katika azma yetu ya pamoja ya kufikia lengo la afya kwa wote. Nawashukuru sana nchi
- Nimekuwa naulizwa sasa je Professor tutumie njia gani kuepuka matumizi ya soda , juisi au keki. Sasa ikitokea unatamani wewe usiseme mimi sitakunywa hii , sema nitakunywa lakini baada ya nusu saa. Lakini ukishasema hivo kama kuna Apple au Ndizi au Papai wewe kula. Unajua nini
00:00 - Je suis profondément honoré et touché d’avoir été élu Directeur régional de l’OMS pour l’Afrique @WHOAFRO . Ce n’est pas seulement une étape personnelle, mais une victoire collective pour notre continent dans sa quête constante d’une meilleure santé pour tous. Je remercie les
- I am committed to uniting, coordinating, and facilitating all @WHOAFRO member states in achieving their individual and collective priorities for building a healthier Africa. It is time for us to come together to strengthen and create more resilient health systems across the















