close
Nenda kwa yaliyomo

elixir

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiingereza

[hariri]

Noun

[hariri]

(Wingi; elixirs)

  1. Ni neno la Kiingereza linalomaanisha kinywaji chenye uwezo wa kuponya magonjwa yote au kurefusha maisha; dawa ya ajabu; au kiini safi au bora kabisa cha kitu.

Tafsiri

[hariri]