JAJI AUGUSTINO RAMADHANI AFARIKI DUNIA
Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe. Augustino Ramadhani amefariki Dunia leo saa mbili Asubuhi katika Hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Mahakama ya Tanzania
1,224 posts
Ukurasa Rasmi wa Mahakama ya Tanzania
- NEMBO MPYA YA MAHAKAMA YA TANZANIA MAHAKAMA YA TANZANIA: PAMOJA TUNABORESHA HUDUMA.
- Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda ametoa rai kwa wananchi wa mkoa huo kutembelea Maonesho ya Wiki ya Utoaji elimu ya Sheria yanayofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam ili kupata elimu ya sheria.
- THE decision by the President Samia Suluhu Hassan to extend the tenure of Hon. Prof. Ibrahim Hamis Juma as Chief Justice of Tz does not breach the Constitution of the United Republic of Tz, as amended from time to time. This follows the decision of the High Court, Main Registry.
- Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Kigoma imefanikiwa kwa asilimia 100 kumaliza mashauri yote ya mlundikano na kuvuka kiwango kilichowekwa na Mahakama ya Tanzania.
- Jaji wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania Mhe. Bethuel Mmila amefariki Dunia usiku huu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam. Marehemu Jaji Mmila alikuwa akipatiwa matibabu kwenye hospitali hiyo ambapo alikuwa amelazwa.
- Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma amesema ipo haja ya kutoa taarifa fupi kuhusu kesi zenye mvuto katika jamii ili ziweze kueleweka kwa umma.
- Mahakama ya Tanzania inapendekeza makosa yote kuwa na dhamana kwa kuwa hatua hii itasaidia kuondoa msongamano wa Mahabusu Magerezani. Jaji Mkuu alisema Mahakama imekuwa ikilaumiwa kwa kuchelewesha kesi lakini kinachosababisha ni upelelezi kutokukamilika kwa wakati.
- Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Songea imeanza kusikiliza mashauri na kutoa hukumu kwa Mahakama Mtandao yaani ‘Video Conference’. Mahakama hiyo imeanza kusikiliza mashauri kwa mtandao baada ya za Mahakama ya Tanzania kununua vifaa maalumu vya vya TEHAMA .
- Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma anasikitika kutangaza kifo cha Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora Mhe. Salvatory Bongole aliyefariki Dunia jana saa 5 usiku baada ya Kuugua ghafla. Taarifa za Mipango ya Mazishi zitajulikana baadaye.
- MAHAKAMA YA TANZANIA INAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA ITAFANYA UZINDUZI WA JENGO LA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA KANDA YA KIGOMA KESHO, JUMAMOSI SEPTEMBA 19, 2020 SAA 5:00 ASUBUHI. UZINDUZI HUO UTAFANYWA NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI.























