Upinzani
Mandhari

Upinzani katika siasa unatokana na vyama vya kisiasa au makundi mengine ambayo hayakubali itikadi au maamuzi ya serikali na chama tawala.
Upinzani unakuwa na kiwango tofauti kadiri ya tofauti zilizojitokeza na hali ya nchi kuwa ya kidemokrasia au ya kiimla[1].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Blondel, J (1997). "Political opposition in the contemporary world". Government and Opposition. 32 (4): 462–486. doi:10.1111/j.1477-7053.1997.tb00441.x. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-01-05.
| Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Upinzani Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
