close
Nenda kwa yaliyomo

Sandra Bullock

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sandra Bullock
Sandra Bullock, mnamo 2013
Sandra Bullock, mnamo 2013
Jina la kuzaliwa Sandra Annette Bullock
Alizaliwa 26 Julai 1964
Marekani
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1985 - hadi leo
Ndoa Jesse James (Julai 2005 - 2010)
Watoto 1

Sandra Annette Bullock (amezaliwa 26 Julai 1964) ni mwigizaji filamu wa Marekani. Ameanza kujipatia umaarufu kunako miaka ya 1990, baada ya kuigiza katika moja ya sehemu ya filamu zilizopata mafaniko makubwa - Speed na While You Were Sleeping.

Baada ya hapo, akawa miongoni mwa waigizaji filamu wenye kuheshimika, hasa baada ya kucheza filamu iliyochezwa mwaka wa 2004 - Crash. Ni miongoni mwa wanamama tajiri wa 14 ambao waigizaji-mashuhuri wanaomiliki zaidi au chini ya dola milioni 85 za Kimarekani.

Filamu alizoigiza

[hariri | hariri chanzo]
Jina la filamuMwakaJina alilotumiaMaelezo
Hangmen1987Lisa Edwards
Religion, Inc.1989Debby
Bionic Showdown: The Six Million Dollar Man and the Bionic Woman1989Kate Mason
Who Shot Patakango?1989Devlin Moran
The Preppie Murder1989Stacy
Lucky/Chances1990Maria Santangelo
Who Do I Gotta Kill?1992Lori
When the Party's Over1992Amanda
Love Potion No. 91992Diane Farrow
The Vanishing1993Diane Shaver
The Thing Called Love1993Linda Lue Linden
Demolition Man1993Lt. Lenina Huxley
Fire on the Amazon1993Alyssa Rothman
Wrestling Ernest Hemingway1993Elaine
Speed1994Annie
While You Were Sleeping1995Lucy Eleanor Moderatz
The Net1995Angela Bennett/Ruth Marx
Two If by Sea1996Roz
A Time to Kill1996Ellen Roark
In Love and War1996Agnes von Kurowsky
Speed 2: Cruise Control1997Annie Porter
Hope Floats1998Birdee Pruitt
Practical Magic1998Sally Owens
The Prince of Egypt (voice)1998Miriam
Forces of Nature1999Sarah Lewis
Gun Shy2000Judy Tipp
28 Days2000Gwen Cummings
Miss Congeniality2000Gracie Hart/Gracie Lou Freebush
Murder by Numbers2002Cassie Mayweather/Jessica Marie Hudson
Divine Secrets of the Ya-Ya Sisterhood2002Siddalee 'Sidda' Walker
Two Weeks Notice2002Lucy Kelson
Crash2004Jean Cabot
Loverboy2005Mrs. Harker
Miss Congeniality 2: Armed & Fabulous2005Gracie Hart
The Lake House2006Kate Forster
Infamous2006Nelle Harper Lee
Premonition2007Linda Quinn Hanson
Kiss & Tango[1]2008Pre-production
All About Steve[2]2008Pre-production
The Proposal2008Margaret Tate
The Blind Side2009Leigh Anne Tuohy
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-01. Iliwekwa mnamo 2007-10-01. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://web.archive.org/web/20071001000511/http://www.hollywoodreporter.com/hr/search/article_display.jsp?vnu_content_id= ignored (help)
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-11-14. Iliwekwa mnamo 2008-02-22.
  1. https://web.archive.org/web/20071001000511/http://www.hollywoodreporter.com/hr/search/article_display.jsp?vnu_content_id=1003531373
  2. http://www.variety.com/article/VR1117951828.html?categoryid=13&cs=1&query=Sandra+Bullock Ilihifadhiwa 14 Novemba 2007 kwenye Wayback Machine.
  3. http://www.variety.com/article/VR1117951828.html?categoryid=13&cs=1&query=Sandra+Bullock Ilihifadhiwa 14 Novemba 2007 kwenye Wayback Machine.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]